Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » VIDEO: UCHAFU WA WASANII WETU

VIDEO: UCHAFU WA WASANII WETU


Hii  ni  sehemu ya pili ya uchunguzi wetu  juu  ya  UCHAFU  unaofanywa na wasanii wetu hapa nchini ambao  siku  zote  wanajiita ni "VIOO VYA  JAMII".....

Kama hukubahatika  kuisoma  sehemu  ya kwanza  ya uchunguzi huu  basi << BOFYA HAPA >> 

Katika  ripoti  iliyotangulia   nilieza jinsi wasanii wetu  wanavyochangia kuporoka kwa maadili  hapa  nchini   kwa  KUCHEZA NUSU  UCHI  ,KUVAA KIHASARA   na  KUFANYA MAPENZI HADHARANI AU CHOONI......

Inasikitisha sana kuona kuwa hapa Tanzania  kuna  madanguro ya  kucheza  nusu uchi  na serikali  inajifanya haioni.....

Katika kumbi hizo, MWANAMKE hutumika kama MTAJI.Nasema hivyo  kwa maana moja tu kuwa,  Wanawake  HUCHEZA  UCHI LIVE.......huku   WANAUME WAKISHANGILIA.....

Wakiwa  stejini, wanawake hujifunga nguo moja tu   ambayo  huachiwa  wakiwa kazini na kila  kitu kubaki hadharani.......INASIKITISHA.

Kinachoniuma zaidi ni kuwa  hata watoto  wadogo wakiwemo  wanafunzi huingia katika kumbi hizo.......

NAOMBA NISISEME MENGI....

HAPO CHINI NIMEWEKA MOJA YA VIDEO  INAYOONESHA UCHAFU WA WASANII  WETU HAPA NCHINI.......

ILI KUIONA,  BOFYA   " KITUFE CHA PLAY"











ILI KUI DOWNLOAD  BOFYA "HAPO CHINI"

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

Translate

 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. MPEKUZI - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger